Native Bible

1 Peter 3:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi, ni nani atakayewadhuru mkiwa wenye juhudi katika kutenda mema?

1 Peter 3:13 in English

1 Peter 3:13 · Berean Standard Bible

Who can harm you if you are zealous for what is good?

Context

11Mtu huyo lazima aache uovu, akatende mema; lazima aitafute amani na kuifuatilia sana. 12Kwa maana macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza maombi yao. Bali uso wa Bwana uko kinyume na watendao maovu.” 13Basi, ni nani atakayewadhuru mkiwa wenye juhudi katika kutenda mema? 14Lakini mmebarikiwa hata kama ikiwalazimu kuteseka kwa ajili ya haki. “Msiogope vitisho vyao, wala msiwe na wasiwasi.” 15Bali mtakaseni Kristo kuwa Bwana mioyoni mwenu. Siku zote mwe tayari kumjibu mtu yeyote atakayewauliza kuhusu sababu ya tumaini lililomo ndani yenu. Lakini fanyeni hivyo kwa upole na kwa heshima,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.