Native Bible

1 Peter 3:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu huyo lazima aache uovu, akatende mema; lazima aitafute amani na kuifuatilia sana.

1 Peter 3:11 in English

1 Peter 3:11 · Berean Standard Bible

He must turn from evil and do good; he must seek peace and pursue it.

Context

9Msilipe ovu kwa ovu, au jeuri kwa jeuri, bali barikini, kwa maana hili ndilo mliloitiwa ili mpate kurithi baraka. 10Kwa maana, “Yeyote apendaye uzima na kuona siku njema, basi auzuie ulimi wake usinene mabaya, na midomo yake isiseme hila. 11Mtu huyo lazima aache uovu, akatende mema; lazima aitafute amani na kuifuatilia sana. 12Kwa maana macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza maombi yao. Bali uso wa Bwana uko kinyume na watendao maovu.” 13Basi, ni nani atakayewadhuru mkiwa wenye juhudi katika kutenda mema?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.