1 Wafalme 9:28
1 Kings 9:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakasafiri kwa bahari mpaka Ofiri na kurudi na talanta 420* za dhahabu, ambazo walimkabidhi Mfalme Solomoni.
1 Kings 9:28 in English
1 Kings 9:28 · Berean Standard Bible
They sailed to Ophir and imported gold from there—420 talents *—and delivered it to Solomon.
Context
26Mfalme Solomoni pia akatengeneza pia meli huko Esion-Geberi, ambayo iko karibu na Elathi katika Edomu, kwenye ukingo wa Bahari ya Shamu.* 27Naye Hiramu akawatuma watu wake; mabaharia walioijua bahari, kuhudumu katika hizo meli pamoja na watu wa Solomoni. 28Wakasafiri kwa bahari mpaka Ofiri na kurudi na talanta 420* za dhahabu, ambazo walimkabidhi Mfalme Solomoni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.