1 Wafalme 9:27
1 Kings 9:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Naye Hiramu akawatuma watu wake; mabaharia walioijua bahari, kuhudumu katika hizo meli pamoja na watu wa Solomoni.
1 Kings 9:27 in English
1 Kings 9:27 · Berean Standard Bible
And Hiram sent his servants, men who knew the sea, to serve in the fleet with Solomon’s servants.
Context
25Solomoni akatoa dhabihu za kuteketezwa na sadaka za amani mara tatu kwa mwaka, juu ya madhabahu aliyokuwa amejengea kwa ajili ya Bwana, akifukiza uvumba mbele za Bwana pamoja na dhabihu hizo, hivyo kutimiza kanuni za hekalu. 26Mfalme Solomoni pia akatengeneza pia meli huko Esion-Geberi, ambayo iko karibu na Elathi katika Edomu, kwenye ukingo wa Bahari ya Shamu.* 27Naye Hiramu akawatuma watu wake; mabaharia walioijua bahari, kuhudumu katika hizo meli pamoja na watu wa Solomoni. 28Wakasafiri kwa bahari mpaka Ofiri na kurudi na talanta 420* za dhahabu, ambazo walimkabidhi Mfalme Solomoni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.