1 Wafalme 9:1
1 Kings 9:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Solomoni alipomaliza kujenga Hekalu la Bwana na jumba la kifalme, alipokwisha kufanya yote aliyotaka kufanya,
1 Kings 9:1 in English
1 Kings 9:1 · Berean Standard Bible
Now when Solomon had finished building the house of the LORD and the royal palace, and had achieved all that he had desired to do,
Context
1Solomoni alipomaliza kujenga Hekalu la Bwana na jumba la kifalme, alipokwisha kufanya yote aliyotaka kufanya, 2Bwana akamtokea mara ya pili, kama alivyokuwa amemtokea huko Gibeoni. 3Bwana akamwambia:
“Nimesikia dua na maombi uliyofanya mbele zangu, nimeliweka wakfu Hekalu hili ambalo umelijenga, kwa kuweka Jina langu humo milele. Macho yangu na moyo wangu utakuwa humo siku zote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.