1 Wafalme 6:15
1 Kings 6:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akazifunika kuta zake za ndani kwa mbao za mierezi, akizipigilia ukutani kuanzia sakafuni mwa Hekalu hadi kwenye dari na kufunika sakafu ya Hekalu kwa mbao za misunobari.
1 Kings 6:15 in English
1 Kings 6:15 · Berean Standard Bible
He lined the interior walls with cedar paneling from the floor of the temple to the ceiling, and he covered the floor with cypress * boards.
Context
13Nami nitakaa miongoni mwa Waisraeli, nami sitawaacha watu wangu Israeli.” 14Basi Solomoni akajenga Hekalu na kulikamilisha. 15Akazifunika kuta zake za ndani kwa mbao za mierezi, akizipigilia ukutani kuanzia sakafuni mwa Hekalu hadi kwenye dari na kufunika sakafu ya Hekalu kwa mbao za misunobari. 16Akagawa dhiraa ishirini sehemu ya nyuma ya Hekalu kwa mbao za mierezi kuanzia kwenye sakafu hadi darini ili kufanya sehemu takatifu ya ndani, yaani Patakatifu pa Patakatifu. 17Ukumbi mkubwa uliokuwa mbele ya chumba hiki ndio ulikuwa na urefu wa dhiraa arobaini.*
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.