1 Wafalme 5:18
1 Kings 5:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mafundi wa Solomoni, wa Hiramu na watu wa Gebali* walikata na kuandaa mbao na mawe kwa ajili ya ujenzi wa Hekalu.
1 Kings 5:18 in English
1 Kings 5:18 · Berean Standard Bible
So Solomon’s and Hiram’s builders, along with the Gebalites, quarried the stone and prepared the timber and stone for the construction of the temple.
Context
16pamoja na wasimamizi 3,300 ambao walisimamia kazi hiyo na kuwaongoza wafanyakazi. 17Kwa amri ya mfalme walitoa kwenye machimbo ya mawe, mawe makubwa, yaliyo bora kwa kujengea msingi wa nyumba yaliyochongwa kwa ajili ya Hekalu. 18Mafundi wa Solomoni, wa Hiramu na watu wa Gebali* walikata na kuandaa mbao na mawe kwa ajili ya ujenzi wa Hekalu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.