Native Bible

1 Kings 2:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini Mfalme Solomoni atabarikiwa, na kiti cha ufalme cha Daudi kitakuwa imara mbele za Bwana milele.”

1 Kings 2:45 in English

1 Kings 2:45 · Berean Standard Bible

But King Solomon will be blessed and David’s throne will remain secure before the LORD forever.”

Context

43Kwa nini basi hukutunza kiapo chako kwa Bwana na kutii amri niliyokupa?” 44Pia mfalme akamwambia Shimei, “Unajua katika moyo wako makosa uliyomtendea baba yangu Daudi. Sasa Bwana atakulipiza kwa ajili ya mabaya yako uliyotenda. 45Lakini Mfalme Solomoni atabarikiwa, na kiti cha ufalme cha Daudi kitakuwa imara mbele za Bwana milele.” 46Kisha mfalme akatoa amri kwa Benaya mwana wa Yehoyada, naye akatoka nje, akampiga Shimei na kumuua. Sasa ufalme ukawa umeimarika kikamilifu mikononi mwa Solomoni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.