1 Yohana 3:5
1 John 3:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini mwajua ya kuwa yeye alidhihirishwa ili aziondoe dhambi, wala ndani yake hamna dhambi.
1 John 3:5 in English
1 John 3:5 · Berean Standard Bible
But you know that Christ appeared to take away sins, and in Him there is no sin.
Context
3Kila mmoja mwenye matumaini haya ndani yake hujitakasa, kama vile yeye alivyo mtakatifu. 4Kila mtu atendaye dhambi afanya uasi, kwa kuwa dhambi ni uasi. 5Lakini mwajua ya kuwa yeye alidhihirishwa ili aziondoe dhambi, wala ndani yake hamna dhambi. 6Kila mtu akaaye ndani yake hatendi dhambi. Kila mtu atendaye dhambi hakumwona yeye wala hakumtambua. 7Watoto wapendwa, mtu yeyote asiwadanganye. Kila mtu atendaye haki ana haki, kama yeye alivyo na haki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.