Native Bible

1 John 3:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kila mtu atendaye dhambi afanya uasi, kwa kuwa dhambi ni uasi.

1 John 3:4 in English

1 John 3:4 · Berean Standard Bible

Everyone who practices sin practices lawlessness as well. Indeed, sin is lawlessness.*

Context

2Wapendwa, sasa tu wana wa Mungu, lakini bado haijadhihirika tutakavyokuwa, lakini twajua ya kwamba yeye atakapodhihirishwa, tutafanana naye, kwa maana tutamwona kama alivyo. 3Kila mmoja mwenye matumaini haya ndani yake hujitakasa, kama vile yeye alivyo mtakatifu. 4Kila mtu atendaye dhambi afanya uasi, kwa kuwa dhambi ni uasi. 5Lakini mwajua ya kuwa yeye alidhihirishwa ili aziondoe dhambi, wala ndani yake hamna dhambi. 6Kila mtu akaaye ndani yake hatendi dhambi. Kila mtu atendaye dhambi hakumwona yeye wala hakumtambua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.