1 Yohana 3:2
1 John 3:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wapendwa, sasa tu wana wa Mungu, lakini bado haijadhihirika tutakavyokuwa, lakini twajua ya kwamba yeye atakapodhihirishwa, tutafanana naye, kwa maana tutamwona kama alivyo.
1 John 3:2 in English
1 John 3:2 · Berean Standard Bible
Beloved, we are now children of God, and what we will be has not yet been revealed. We know that when Christ appears,* we will be like Him, for we will see Him as He is.
Context
1Tazameni ni pendo kuu namna gani alilotupa Baba, kwamba sisi tuitwe wana wa Mungu! Na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye. 2Wapendwa, sasa tu wana wa Mungu, lakini bado haijadhihirika tutakavyokuwa, lakini twajua ya kwamba yeye atakapodhihirishwa, tutafanana naye, kwa maana tutamwona kama alivyo. 3Kila mmoja mwenye matumaini haya ndani yake hujitakasa, kama vile yeye alivyo mtakatifu. 4Kila mtu atendaye dhambi afanya uasi, kwa kuwa dhambi ni uasi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.