1 Yohana 3:21
1 John 3:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wapendwa, kama mioyo yetu haituhukumu, tunao ujasiri mbele za Mungu,
1 John 3:21 in English
1 John 3:21 · Berean Standard Bible
Beloved, if our hearts do not condemn us, we have confidence before God,
Context
19Basi hivi ndivyo tutakavyoweza kujua ya kuwa sisi tu wa kweli na hivyo twaithibitisha mioyo yetu mbele za Mungu 20kila mara mioyo yetu inapotuhukumu. Kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mioyo yetu, naye anajua kila kitu. 21Wapendwa, kama mioyo yetu haituhukumu, tunao ujasiri mbele za Mungu, 22lolote tuombalo, twalipokea kutoka kwake, kwa sababu tumezitii amri zake na kutenda yale yanayompendeza. 23Hii ndiyo amri yake: kwamba tuliamini Jina la Mwanawe, Yesu Kristo, na kupendana sisi kwa sisi kama yeye alivyotuamuru.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.