Native Bible

1 John 3:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hii ndiyo amri yake: kwamba tuliamini Jina la Mwanawe, Yesu Kristo, na kupendana sisi kwa sisi kama yeye alivyotuamuru.

1 John 3:23 in English

1 John 3:23 · Berean Standard Bible

And this is His commandment: that we should believe in the name of His Son, Jesus Christ, and we should love one another just as He commanded us.

Context

21Wapendwa, kama mioyo yetu haituhukumu, tunao ujasiri mbele za Mungu, 22lolote tuombalo, twalipokea kutoka kwake, kwa sababu tumezitii amri zake na kutenda yale yanayompendeza. 23Hii ndiyo amri yake: kwamba tuliamini Jina la Mwanawe, Yesu Kristo, na kupendana sisi kwa sisi kama yeye alivyotuamuru. 24Wale wote wanaozishika amri zake hukaa ndani yake na yeye ndani yao. Hivi ndivyo tunavyojua kwamba anakaa ndani yetu. Nasi twajua hili kwa njia ya Roho yule aliyetupa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.