1 Yohana 3:20
1 John 3:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kila mara mioyo yetu inapotuhukumu. Kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mioyo yetu, naye anajua kila kitu.
1 John 3:20 in English
1 John 3:20 · Berean Standard Bible
Even if our hearts condemn us, God is greater than our hearts, and He knows all things.
Context
18Watoto wapendwa, tusipende kwa maneno au kwa ulimi bali kwa tendo na kweli. 19Basi hivi ndivyo tutakavyoweza kujua ya kuwa sisi tu wa kweli na hivyo twaithibitisha mioyo yetu mbele za Mungu 20kila mara mioyo yetu inapotuhukumu. Kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mioyo yetu, naye anajua kila kitu. 21Wapendwa, kama mioyo yetu haituhukumu, tunao ujasiri mbele za Mungu, 22lolote tuombalo, twalipokea kutoka kwake, kwa sababu tumezitii amri zake na kutenda yale yanayompendeza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.