Native Bible

1 John 3:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watoto wapendwa, tusipende kwa maneno au kwa ulimi bali kwa tendo na kweli.

1 John 3:18 in English

1 John 3:18 · Berean Standard Bible

Little children, let us love not in word and speech, but in action and truth.

Context

16Kwa namna hii twaweza kulijua pendo la Mungu: Kwa sababu Yesu Kristo aliutoa uhai wake kwa ajili yetu. Nasi imetupasa kuutoa uhai kwa ajili ya hao ndugu. 17Ikiwa mtu anavyo vitu vya ulimwengu huu na akamwona ndugu yake ni mhitaji lakini asimhurumie, upendo wa Mungu wakaaje ndani ya mtu huyo? 18Watoto wapendwa, tusipende kwa maneno au kwa ulimi bali kwa tendo na kweli. 19Basi hivi ndivyo tutakavyoweza kujua ya kuwa sisi tu wa kweli na hivyo twaithibitisha mioyo yetu mbele za Mungu 20kila mara mioyo yetu inapotuhukumu. Kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mioyo yetu, naye anajua kila kitu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.