Native Bible

1 Corinthians 7:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, umeolewa? Basi usitake talaka. Je, hujaoa? Usitafute mke.

1 Corinthians 7:27 in English

1 Corinthians 7:27 · Berean Standard Bible

Are you committed to a wife? Do not seek to be released. Are you free of commitment? Do not look for a wife.

Context

25Basi, kuhusu wale walio bikira, mimi sina amri kutoka kwa Bwana, lakini mimi natoa shauri kama mtu ambaye ni mwaminifu kwa rehema za Bwana. 26Kwa sababu ya shida iliyoko kwa sasa, naona ni vyema mkibaki kama mlivyo. 27Je, umeolewa? Basi usitake talaka. Je, hujaoa? Usitafute mke. 28Lakini kama ukioa, hujatenda dhambi; na kama bikira akiolewa, hajatenda dhambi. Lakini wale wanaooa watakabiliana na matatizo mengi katika maisha haya, nami nataka kuwazuilia hayo. 29Lakini ndugu zangu, nina maana kwamba muda uliobaki ni mfupi. Tangu sasa wale waliooa waishi kama wasio na wake;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.