1 Wakorintho 15:36
1 Corinthians 15:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninyi wapumbavu kiasi gani? Mpandacho hakiwi hai kama hakikufa.
1 Corinthians 15:36 in English
1 Corinthians 15:36 · Berean Standard Bible
You fool! What you sow does not come to life unless it dies.
Context
34Zindukeni mwe na akili kama iwapasavyo, wala msitende dhambi tena; kwa maana watu wengine hawamjui Mungu. Nasema mambo haya ili mwone aibu. 35Lakini mtu anaweza kuuliza, “Wafu wafufuliwaje? Watakuwa na mwili wa namna gani?” 36Ninyi wapumbavu kiasi gani? Mpandacho hakiwi hai kama hakikufa. 37Mpandapo, hampandi mwili ule utakao kuwa, bali mwapanda mbegu tu, pengine ya ngano au ya kitu kingine. 38Lakini Mungu huipa mbegu umbo kama alivyokusudia mwenyewe na kila aina ya mbegu huipa umbo lake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.