Native Bible

1 Corinthians 15:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Zindukeni mwe na akili kama iwapasavyo, wala msitende dhambi tena; kwa maana watu wengine hawamjui Mungu. Nasema mambo haya ili mwone aibu.

1 Corinthians 15:34 in English

1 Corinthians 15:34 · Berean Standard Bible

Sober up as you ought, and stop sinning; for some of you are ignorant of God. I say this to your shame.

Context

32Kama kwa sababu za kibinadamu tu nilipigana na wanyama wakali huko Efeso, ningekuwa nimepata faida gani? Kama wafu hawafufuliwi, “Tuleni na kunywa, kwa kuwa kesho tutakufa.” 33Msidanganyike: “Ushirika na watu wabaya huharibu tabia njema.” 34Zindukeni mwe na akili kama iwapasavyo, wala msitende dhambi tena; kwa maana watu wengine hawamjui Mungu. Nasema mambo haya ili mwone aibu. 35Lakini mtu anaweza kuuliza, “Wafu wafufuliwaje? Watakuwa na mwili wa namna gani?” 36Ninyi wapumbavu kiasi gani? Mpandacho hakiwi hai kama hakikufa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.