1 Wakorintho 15:18
1 Corinthians 15:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo basi, wote waliolala katika Kristo wamepotea.
1 Corinthians 15:18 in English
1 Corinthians 15:18 · Berean Standard Bible
Then those also who have fallen asleep in Christ have perished.
Context
16Kwa kuwa kama wafu hawafufuliwi, basi hata Kristo hajafufuka. 17Tena kama Kristo hajafufuliwa, imani yenu ni batili; nanyi bado mko katika dhambi zenu. 18Hivyo basi, wote waliolala katika Kristo wamepotea. 19Ikiwa tumaini letu ndani ya Kristo ni kwa ajili ya maisha haya tu, sisi tunastahili kuhurumiwa kuliko watu wote. 20Lakini kweli Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu, tunda la kwanza la wale wote waliolala.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.