Native Bible

1 Corinthians 15:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tena kama Kristo hajafufuliwa, imani yenu ni batili; nanyi bado mko katika dhambi zenu.

1 Corinthians 15:17 in English

1 Corinthians 15:17 · Berean Standard Bible

And if Christ has not been raised, your faith is futile; you are still in your sins.

Context

15Zaidi ya hayo, twaonekana kuwa mashahidi wa uongo kuhusu Mungu, kwa sababu tumeshuhudia kumhusu Mungu kwamba alimfufua Kristo kutoka kwa wafu, lakini hilo haliwezi kuwa kweli kama wafu hawafufuliwi. 16Kwa kuwa kama wafu hawafufuliwi, basi hata Kristo hajafufuka. 17Tena kama Kristo hajafufuliwa, imani yenu ni batili; nanyi bado mko katika dhambi zenu. 18Hivyo basi, wote waliolala katika Kristo wamepotea. 19Ikiwa tumaini letu ndani ya Kristo ni kwa ajili ya maisha haya tu, sisi tunastahili kuhurumiwa kuliko watu wote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.