1 Wakorintho 15:16
1 Corinthians 15:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kuwa kama wafu hawafufuliwi, basi hata Kristo hajafufuka.
1 Corinthians 15:16 in English
1 Corinthians 15:16 · Berean Standard Bible
For if the dead are not raised, then not even Christ has been raised.
Context
14Tena ikiwa Kristo hakufufuliwa kutoka kwa wafu, kuhubiri kwetu kumekuwa ni bure na imani yenu ni batili. 15Zaidi ya hayo, twaonekana kuwa mashahidi wa uongo kuhusu Mungu, kwa sababu tumeshuhudia kumhusu Mungu kwamba alimfufua Kristo kutoka kwa wafu, lakini hilo haliwezi kuwa kweli kama wafu hawafufuliwi. 16Kwa kuwa kama wafu hawafufuliwi, basi hata Kristo hajafufuka. 17Tena kama Kristo hajafufuliwa, imani yenu ni batili; nanyi bado mko katika dhambi zenu. 18Hivyo basi, wote waliolala katika Kristo wamepotea.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.