Native Bible

1 Corinthians 12:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama ulivyo, una viungo vingi, lakini mwili ni mmoja.

1 Corinthians 12:20 in English

1 Corinthians 12:20 · Berean Standard Bible

As it is, there are many parts, but one body.

Context

18Lakini kama ilivyo, Mungu ameweka viungo katika mwili, kila kimoja kama alivyopenda. 19Kama vyote vingekuwa kiungo kimoja, mwili ungekuwa wapi? 20Kama ulivyo, una viungo vingi, lakini mwili ni mmoja. 21Jicho haliwezi kuuambia mkono, “Sina haja nawe!” Wala kichwa hakiwezi kuiambia miguu, “Sina haja na ninyi!” 22Lakini badala yake, vile viungo vya mwili vinavyoonekana kuwa dhaifu, ndivyo ambavyo ni vya muhimu sana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.