1 Wakorintho 12:19
1 Corinthians 12:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama vyote vingekuwa kiungo kimoja, mwili ungekuwa wapi?
1 Corinthians 12:19 in English
1 Corinthians 12:19 · Berean Standard Bible
If they were all one part, where would the body be?
Context
17Kama mwili wote ungelikuwa jicho, kusikia kungekuwa wapi? Au kama mwili wote ungelikuwa sikio, kunusa kungekuwa wapi? 18Lakini kama ilivyo, Mungu ameweka viungo katika mwili, kila kimoja kama alivyopenda. 19Kama vyote vingekuwa kiungo kimoja, mwili ungekuwa wapi? 20Kama ulivyo, una viungo vingi, lakini mwili ni mmoja. 21Jicho haliwezi kuuambia mkono, “Sina haja nawe!” Wala kichwa hakiwezi kuiambia miguu, “Sina haja na ninyi!”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.