Native Bible

1 Corinthians 12:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi ndugu zangu, kuhusu karama za rohoni, sitaki mkose kufahamu.

1 Corinthians 12:1 in English

1 Corinthians 12:1 · Berean Standard Bible

Now about spiritual gifts, brothers, I do not want you to be uninformed.

Context

1Basi ndugu zangu, kuhusu karama za rohoni, sitaki mkose kufahamu. 2Mnajua kwamba mlipokuwa watu wasiomjua Mungu, kwa njia moja au ingine mlishawishika na kupotoshwa mkielekezwa kwa sanamu zisizonena. 3Kwa hiyo nawaambieni ya kuwa hakuna mtu anayeongozwa na Roho wa Mungu anayeweza kusema, “Yesu na alaaniwe.” Pia hakuna mtu awezaye kusema, “Yesu ni Bwana,” isipokuwa ameongozwa na Roho Mtakatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.