1 Wakorintho 11:2
1 Corinthians 11:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninawasifu kwa kuwa mnanikumbuka katika kila jambo na kwa kushika mafundisho niliyowapa.
1 Corinthians 11:2 in English
1 Corinthians 11:2 · Berean Standard Bible
Now I commend you for remembering me in everything and for maintaining the traditions, just as I passed them on to you.
Context
1Igeni mfano wangu, kama ninavyouiga mfano wa Kristo. 2Ninawasifu kwa kuwa mnanikumbuka katika kila jambo na kwa kushika mafundisho niliyowapa. 3Napenda mfahamu kwamba kichwa cha kila mwanaume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanaume, nacho kichwa cha Kristo ni Mungu. 4Kila mwanaume anayeomba au kutoa unabii akiwa amefunika kichwa chake, anakiaibisha kichwa chake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.