Native Bible

1 Corinthians 11:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Igeni mfano wangu, kama ninavyouiga mfano wa Kristo.

1 Corinthians 11:1 in English

1 Corinthians 11:1 · Berean Standard Bible

You are to imitate me, just as I imitate Christ.

Context

1Igeni mfano wangu, kama ninavyouiga mfano wa Kristo. 2Ninawasifu kwa kuwa mnanikumbuka katika kila jambo na kwa kushika mafundisho niliyowapa. 3Napenda mfahamu kwamba kichwa cha kila mwanaume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanaume, nacho kichwa cha Kristo ni Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.