Native Bible

1 Corinthians 10:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wote wakabatizwa kuwa wa Mose ndani ya lile wingu na ndani ya ile bahari.

1 Corinthians 10:2 in English

1 Corinthians 10:2 · Berean Standard Bible

They were all baptized into Moses in the cloud and in the sea.

Context

1Ndugu zangu, sitaki mkose kufahamu ukweli huu kwamba baba zetu walikuwa wote chini ya wingu na kwamba wote walipita katikati ya bahari. 2Wote wakabatizwa kuwa wa Mose ndani ya lile wingu na ndani ya ile bahari. 3Wote walikula chakula kile kile cha roho, 4na wote wakanywa kile kile kinywaji cha roho, kwa maana walikunywa kutoka ule mwamba wa roho uliofuatana nao, nao ule mwamba ulikuwa Kristo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.