1 Wakorintho 10:4
1 Corinthians 10:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na wote wakanywa kile kile kinywaji cha roho, kwa maana walikunywa kutoka ule mwamba wa roho uliofuatana nao, nao ule mwamba ulikuwa Kristo.
1 Corinthians 10:4 in English
1 Corinthians 10:4 · Berean Standard Bible
and drank the same spiritual drink; for they drank from the spiritual rock that accompanied them, and that rock was Christ.
Context
2Wote wakabatizwa kuwa wa Mose ndani ya lile wingu na ndani ya ile bahari. 3Wote walikula chakula kile kile cha roho, 4na wote wakanywa kile kile kinywaji cha roho, kwa maana walikunywa kutoka ule mwamba wa roho uliofuatana nao, nao ule mwamba ulikuwa Kristo. 5Lakini Mungu hakupendezwa na wengi wao, kwa hiyo miili yao ilitapakaa jangwani. 6Basi mambo haya yalitokea kama mifano ili kutuzuia tusiweke mioyo yetu katika mambo maovu kama wao walivyofanya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.