Native Bible

1 Corinthians 10:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndugu zangu, sitaki mkose kufahamu ukweli huu kwamba baba zetu walikuwa wote chini ya wingu na kwamba wote walipita katikati ya bahari.

1 Corinthians 10:1 in English

1 Corinthians 10:1 · Berean Standard Bible

I do not want you to be unaware, brothers, that our forefathers were all under the cloud, and that they all passed through the sea.

Context

1Ndugu zangu, sitaki mkose kufahamu ukweli huu kwamba baba zetu walikuwa wote chini ya wingu na kwamba wote walipita katikati ya bahari. 2Wote wakabatizwa kuwa wa Mose ndani ya lile wingu na ndani ya ile bahari. 3Wote walikula chakula kile kile cha roho,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.