1 Wakorintho 10:11
1 Corinthians 10:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mambo haya yote yaliwapata wao ili yawe mifano kwa wengine, nayo yaliandikwa ili yatuonye sisi ambao mwisho wa nyakati umetufikia.
1 Corinthians 10:11 in English
1 Corinthians 10:11 · Berean Standard Bible
Now these things happened to them as examples and were written down as warnings for us, on whom the fulfillment of the ages has come.
Context
9Wala tusimjaribu Kristo, kama baadhi yao walivyofanya, wakafa kwa kuumwa na nyoka. 10Msinungʼunike kama baadhi yao walivyofanya, wakaangamizwa na mharabu. 11Mambo haya yote yaliwapata wao ili yawe mifano kwa wengine, nayo yaliandikwa ili yatuonye sisi ambao mwisho wa nyakati umetufikia. 12Hivyo, yeye ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke. 13Hakuna jaribu lolote lililowapata ambalo si la kawaida kwa wanadamu. Naye Mungu ni mwaminifu; hataruhusu mjaribiwe kupita mnavyoweza. Lakini mnapojaribiwa atawapa njia ya kutokea ili mweze kustahimili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.