1 Wakorintho 1:6
1 Corinthians 1:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa sababu ushuhuda wetu kumhusu Kristo ulithibitishwa ndani yenu.
1 Corinthians 1:6 in English
1 Corinthians 1:6 · Berean Standard Bible
because our testimony about Christ was confirmed in you.
Context
4Ninamshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu kwa sababu ya neema yake mliyopewa katika Kristo Yesu. 5Kwa kuwa katika Kristo mmetajirishwa kwa kila hali, katika kusema kwenu na katika maarifa yenu yote, 6kwa sababu ushuhuda wetu kumhusu Kristo ulithibitishwa ndani yenu. 7Kwa hiyo hamkupungukiwa na karama yoyote ya kiroho wakati mnangoja kwa shauku kudhihirishwa kwa Bwana wetu Yesu Kristo. 8Atawafanya imara mpaka mwisho, ili msiwe na hatia siku ile ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.