Native Bible

1 Corinthians 1:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa katika Kristo mmetajirishwa kwa kila hali, katika kusema kwenu na katika maarifa yenu yote,

1 Corinthians 1:5 in English

1 Corinthians 1:5 · Berean Standard Bible

For in Him you have been enriched in every way, in all speech and all knowledge,

Context

3Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo iwe nanyi. 4Ninamshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu kwa sababu ya neema yake mliyopewa katika Kristo Yesu. 5Kwa kuwa katika Kristo mmetajirishwa kwa kila hali, katika kusema kwenu na katika maarifa yenu yote, 6kwa sababu ushuhuda wetu kumhusu Kristo ulithibitishwa ndani yenu. 7Kwa hiyo hamkupungukiwa na karama yoyote ya kiroho wakati mnangoja kwa shauku kudhihirishwa kwa Bwana wetu Yesu Kristo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.