1 Nyakati 8:14
1 Chronicles 8:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Beria walikuwa Ahio, Shashaki, Yeremothi,
1 Chronicles 8:14 in English
1 Chronicles 8:14 · Berean Standard Bible
Ahio, Shashak, Jeremoth,
Context
12Wana wa Elpaali walikuwa:
Eberi, Mishamu, Shemedi (aliyeijenga miji ya Ono na Lodi, pamoja na vijiji vilivyoizunguka), 13na Beria na Shema, waliokuwa viongozi wa zile jamaa zilizokuwa zinaishi katika mji wa Aiyaloni, na ambao waliwafukuza wenyeji wa Gathi. 14Wana wa Beria walikuwa Ahio, Shashaki, Yeremothi, 15Zebadia, Aradi, Ederi, 16Mikaeli, Ishpa, na Yoha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.