Native Bible

1 Chronicles 7:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Ula walikuwa: Ara, Hanieli na Risia.

1 Chronicles 7:39 in English

1 Chronicles 7:39 · Berean Standard Bible

The sons of Ulla: Arah, Hanniel, and Rizia.

Context

37Bezeri, Hodu, Shama, Shilsha, Ithrani* na Beera. 38Wana wa Yetheri walikuwa: Yefune, Pispa na Ara. 39Wana wa Ula walikuwa: Ara, Hanieli na Risia. 40Hawa wote ndio waliokuwa wazao wa Asheri, viongozi wa jamaa zao, watu bora, mashujaa walio hodari na viongozi maarufu. Idadi ya watu waliokuwa tayari kwa vita, kama ilivyoorodheshwa katika ukoo wao, walikuwa 26,000.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.