Native Bible

1 Chronicles 7:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Isakari walikuwa: Tola, Pua, Yashubu na Shimroni; wote ni wanne.

1 Chronicles 7:1 in English

1 Chronicles 7:1 · Berean Standard Bible

The sons of Issachar: Tola, Puah,* Jashub, and Shimron—four in all.

Context

1Wana wa Isakari walikuwa: Tola, Pua, Yashubu na Shimroni; wote ni wanne. 2Wana wa Tola walikuwa: Uzi, Refaya, Yerieli, Yahmai, Ibsamu na Shemueli waliokuwa viongozi wa jamaa zao. Wakati wa utawala wa Mfalme Daudi, wazao wa Tola walioorodheshwa kama wapiganaji katika ukoo wao walikuwa watu 22,600. 3Mwana wa Uzi alikuwa: Izrahia. Wana wa Izrahia walikuwa: Mikaeli, Obadia, Yoeli na Ishia. Wote hawa watano walikuwa wakuu wao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.