1 Nyakati 6:42
1 Chronicles 6:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
mwana wa Ethani, mwana wa Zima, mwana wa Shimei,
1 Chronicles 6:42 in English
1 Chronicles 6:42 · Berean Standard Bible
the son of Ethan, the son of Zimmah, the son of Shimei,
Context
40mwana wa Mikaeli, mwana wa Baaseya,
mwana wa Malkiya, 41mwana wa Ethni,
mwana wa Zera, mwana wa Adaya, 42mwana wa Ethani, mwana wa Zima,
mwana wa Shimei, 43mwana wa Yahathi,
mwana wa Gershoni, mwana wa Lawi. 44Na kutoka kwa walioshirikiana nao, Wamerari, mkono wake wa kushoto:
Ethani mwana wa Kishi, mwana wa Abdi,
mwana wa Maluki,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.