Native Bible

1 Chronicles 6:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

mwana wa Ethni, mwana wa Zera, mwana wa Adaya,

1 Chronicles 6:41 in English

1 Chronicles 6:41 · Berean Standard Bible

the son of Ethni, the son of Zerah, the son of Adaiah,

Context

39na msaidizi wa Hemani alikuwa Asafu, aliyesimama mkono wa kuume: Asafu mwana wa Berekia, mwana wa Shimea, 40mwana wa Mikaeli, mwana wa Baaseya, mwana wa Malkiya, 41mwana wa Ethni, mwana wa Zera, mwana wa Adaya, 42mwana wa Ethani, mwana wa Zima, mwana wa Shimei, 43mwana wa Yahathi, mwana wa Gershoni, mwana wa Lawi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.