1 Nyakati 6:39
1 Chronicles 6:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na msaidizi wa Hemani alikuwa Asafu, aliyesimama mkono wa kuume: Asafu mwana wa Berekia, mwana wa Shimea,
1 Chronicles 6:39 in English
1 Chronicles 6:39 · Berean Standard Bible
Heman’s kinsman was Asaph, who served at his right hand: Asaph the son of Berechiah, the son of Shimea,
Context
37mwana wa Tahathi, mwana wa Asiri,
mwana wa Ebiasafu, mwana wa Kora, 38mwana wa Ishari, mwana wa Kohathi,
mwana wa Lawi, mwana wa Israeli; 39na msaidizi wa Hemani alikuwa Asafu, aliyesimama mkono wa kuume:
Asafu mwana wa Berekia, mwana wa Shimea, 40mwana wa Mikaeli, mwana wa Baaseya,
mwana wa Malkiya, 41mwana wa Ethni,
mwana wa Zera, mwana wa Adaya,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.