Native Bible

1 Chronicles 6:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amramu alikuwa na wana: Aroni, Mose, na Miriamu. Aroni alikuwa na wana: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.

1 Chronicles 6:3 in English

1 Chronicles 6:3 · Berean Standard Bible

The children of Amram: Aaron, Moses, and Miriam. The sons of Aaron: Nadab, Abihu, Eleazar, and Ithamar.

Context

1Wana wa Lawi walikuwa: Gershoni, Kohathi na Merari. 2Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 3Amramu alikuwa na wana: Aroni, Mose, na Miriamu. Aroni alikuwa na wana: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari. 4Eleazari akamzaa Finehasi, Finehasi akamzaa Abishua, 5Abishua akamzaa Buki, Buki akamzaa Uzi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.