Native Bible

1 Chronicles 6:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.

1 Chronicles 6:2 in English

1 Chronicles 6:2 · Berean Standard Bible

The sons of Kohath: Amram, Izhar, Hebron, and Uzziel.

Context

1Wana wa Lawi walikuwa: Gershoni, Kohathi na Merari. 2Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 3Amramu alikuwa na wana: Aroni, Mose, na Miriamu. Aroni alikuwa na wana: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari. 4Eleazari akamzaa Finehasi, Finehasi akamzaa Abishua,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.