1 Nyakati 5:19
1 Chronicles 5:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walipigana vita dhidi ya Wahagari, Yeturi, Nafishi na Nodabu.
1 Chronicles 5:19 in English
1 Chronicles 5:19 · Berean Standard Bible
They waged war against the Hagrites, as well as Jetur, Naphish, and Nodab.
Context
17Yote haya yaliwekwa katika kumbukumbu za ukoo wao wakati wa utawala wa Yothamu, mfalme wa Yuda na Yeroboamu mfalme wa Israeli. 18Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase walikuwa na watu mashujaa 44,760 waliokuwa wameandaliwa kwa ajili ya vita: watu wenye nguvu, hodari wa kutumia ngao na upanga, mashujaa wa kutumia upinde, waliokuwa tayari kwa ajili ya kazi hiyo. 19Walipigana vita dhidi ya Wahagari, Yeturi, Nafishi na Nodabu. 20Walisaidiwa katika kupigana nao, Mungu akawatia Wahagari pamoja na wote walioungana nao mikononi mwao, kwa sababu walimlilia Mungu wakati wa vita. Alijibu maombi yao, kwa sababu walimtegemea. 21Walitwaa mifugo ya Wahagari: ngamia 50,000, kondoo 250,000, punda 2,000. Pia wakateka watu 100,000,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.