Native Bible

1 Chronicles 4:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ziza mwana wa Shifi, mwana wa Aloni, mwana wa Yedaya, mwana wa Shimri, mwana wa Shemaya.

1 Chronicles 4:37 in English

1 Chronicles 4:37 · Berean Standard Bible

and Ziza son of Shiphi (son of Allon, son of Jedaiah, son of Shimri, son of Shemaiah).

Context

35Yoeli, Yehu mwana wa Yoshibia, mwana wa Seraya, mwana wa Asieli. 36Pia Elioenai, Yaakoba, Yeshohaya, Asaya, Adieli, Yesimieli, Benaya, 37Ziza mwana wa Shifi, mwana wa Aloni, mwana wa Yedaya, mwana wa Shimri, mwana wa Shemaya. 38Watu hawa walioorodheshwa hapa juu kwa majina walikuwa viongozi wa koo zao. Jamaa zao ziliongezeka sana, 39wakaenea mpaka kwenye viunga vya Gedori kuelekea mashariki mwa bonde wakitafuta malisho kwa ajili ya mifugo yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.