1 Nyakati 4:24
1 Chronicles 4:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wazao wa Simeoni walikuwa: Nemueli, Yamini, Yaribu, Zera na Shauli.
1 Chronicles 4:24 in English
1 Chronicles 4:24 · Berean Standard Bible
The descendants of Simeon: Nemuel, Jamin, Jarib, Zerah,* and Shaul.
Context
22Yokimu, watu walioishi Kozeba, Yoashi na Sarafi waliotawala huko Moabu na Yashubi-Lehemu. (Taarifa hizi ni za zamani sana.) 23Hawa walikuwa wafinyanzi walioishi Netaimu na Gedera; waliishi huko wakimtumikia mfalme. 24Wazao wa Simeoni walikuwa:
Nemueli, Yamini, Yaribu, Zera na Shauli. 25Mwana wa Shauli alikuwa Shalumu, Shalumu akamzaa Mibsamu, na Mibsamu akamzaa Mishma. 26Wazao wa Mishma walikuwa:
Hamueli aliyemzaa Zakuri, Zakuri akamzaa Shimei.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.