1 Nyakati 27:28
1 Chronicles 27:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baal-Hanani Mgederi ndiye alikuwa mwangalizi wa mashamba ya mfalme ya mizeituni na mikuyu katika tambarare za vilima vya magharibi. Yoashi alikuwa msimamizi wa ghala za mafuta ya zeituni.
1 Chronicles 27:28 in English
1 Chronicles 27:28 · Berean Standard Bible
Baal-hanan the Gederite was in charge of the olive and sycamore trees in the foothills.* Joash was in charge of the stores of olive oil.
Context
26Ezri mwana wa Kelubu alikuwa msimamizi wa wafanyakazi waliolima katika mashamba. 27Shimei Mramathi alikuwa msimamizi wa mashamba ya mizabibu.
Zabdi Mshifmi alikuwa msimamizi wa zabibu, utengenezaji na uhifadhi wa divai katika mapipa makubwa. 28Baal-Hanani Mgederi ndiye alikuwa mwangalizi wa mashamba ya mfalme ya mizeituni na mikuyu katika tambarare za vilima vya magharibi.
Yoashi alikuwa msimamizi wa ghala za mafuta ya zeituni. 29Shitrai Msharoni alikuwa msimamizi wa makundi ya ngʼombe waliojilisha huko Sharoni.
Shafati mwana wa Adlai alikuwa msimamizi wa yale makundi ya ngʼombe yaliyokuwa makondeni. 30Obili Mwishmaeli alikuwa msimamizi wa ngamia.
Yedeya Mmeronothi alikuwa msimamizi wa punda.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.