Native Bible

1 Chronicles 26:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Elamu wa tano Yehohanani wa sita na Eliehoenai wa saba.

1 Chronicles 26:3 in English

1 Chronicles 26:3 · Berean Standard Bible

Elam the fifth, Jehohanan the sixth, and Eliehoenai the seventh.

Context

1Hii ndiyo migawanyo ya mabawabu: Kutoka kwa wana wa Kora alikuwa: Meshelemia mwana wa Kore, mmoja wa wana wa Asafu. 2Meshelemia alikuwa na wana wafuatao: Zekaria mzaliwa wa kwanza, Yediaeli wa pili, Zebadia wa tatu, Yathnieli wa nne, 3Elamu wa tano Yehohanani wa sita na Eliehoenai wa saba. 4Obed-Edomu naye alikuwa na wana wafuatao: Shemaya mzaliwa wa kwanza, Yehozabadi wa pili, Yoa wa tatu, Sakari wa nne, Nethaneli wa tano, 5Amieli wa sita, Isakari wa saba, na Peulethai wa nane. (Kwa kuwa Mungu alikuwa amembariki Obed-Edomu.)

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.