1 Nyakati 21:9
1 Chronicles 21:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana akamwambia Gadi, mwonaji wa Daudi,
1 Chronicles 21:9 in English
1 Chronicles 21:9 · Berean Standard Bible
And the LORD instructed Gad, David’s seer,
Context
7Amri hii ilikuwa mbaya machoni pa Mungu pia; hivyo akaiadhibu Israeli. 8Kisha Daudi akamwambia Mungu, “Nimetenda dhambi kubwa kwa kufanya jambo hili. Sasa, ninakusihi, ondoa hatia ya mtumishi wako. Nimefanya jambo la kipumbavu sana.” 9Bwana akamwambia Gadi, mwonaji wa Daudi, 10“Nenda ukamwambie Daudi, hivi ndivyo asemavyo Bwana: ‘Ninakupa wewe uchaguzi wa mambo matatu. Nichagulie mojawapo nitakalotenda dhidi yako.’ ” 11Kwa hiyo Gadi akamwendea Daudi akamwambia, “Hili ndilo Bwana asemalo: ‘Chagua:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.