Native Bible

1 Chronicles 21:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amri hii ilikuwa mbaya machoni pa Mungu pia; hivyo akaiadhibu Israeli.

1 Chronicles 21:7 in English

1 Chronicles 21:7 · Berean Standard Bible

This command was also evil in the sight of God; so He struck Israel.

Context

5Yoabu akampa Daudi jumla ya idadi ya watu wanaoweza kupigana. Katika Israeli kulikuwa na watu 1,100,000 ambao wangeweza kutumia upanga na katika Yuda watu 470,000. 6Lakini Yoabu hakuwahesabu Walawi na Wabenyamini, kwa sababu alichukizwa sana na amri ya mfalme. 7Amri hii ilikuwa mbaya machoni pa Mungu pia; hivyo akaiadhibu Israeli. 8Kisha Daudi akamwambia Mungu, “Nimetenda dhambi kubwa kwa kufanya jambo hili. Sasa, ninakusihi, ondoa hatia ya mtumishi wako. Nimefanya jambo la kipumbavu sana.” 9Bwana akamwambia Gadi, mwonaji wa Daudi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.