1 Nyakati 16:22
1 Chronicles 16:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Msiwaguse niliowatia mafuta; msiwadhuru manabii wangu.”
1 Chronicles 16:22 in English
1 Chronicles 16:22 · Berean Standard Bible
‘Do not touch My anointed ones! Do no harm to My prophets!’
Context
20walitangatanga kutoka taifa moja hadi jingine,
kutoka ufalme mmoja hadi mwingine. 21Hakuruhusu mtu yeyote awaonee;
kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema: 22“Msiwaguse niliowatia mafuta;
msiwadhuru manabii wangu.” 23Mwimbieni Bwana dunia yote;
tangazeni wokovu wake siku baada ya siku. 24Tangazeni utukufu wake katikati ya mataifa,
matendo yake ya ajabu miongoni mwa mataifa yote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.