Native Bible

1 Chronicles 16:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walipokuwa wachache kwa idadi, wachache sana na wageni ndani yake,

1 Chronicles 16:19 in English

1 Chronicles 16:19 · Berean Standard Bible

When they were few in number, few indeed, and strangers in the land,

Context

17Alilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri, kwa Israeli liwe agano la milele: 18“Nitakupa wewe nchi ya Kanaani kuwa sehemu utakayoirithi.” 19Walipokuwa wachache kwa idadi, wachache sana na wageni ndani yake, 20walitangatanga kutoka taifa moja hadi jingine, kutoka ufalme mmoja hadi mwingine. 21Hakuruhusu mtu yeyote awaonee; kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.