1 Nyakati 16:17
1 Chronicles 16:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Alilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri, kwa Israeli liwe agano la milele:
1 Chronicles 16:17 in English
1 Chronicles 16:17 · Berean Standard Bible
He confirmed it to Jacob as a decree, to Israel as an everlasting covenant:
Context
15Hulikumbuka agano lake milele,
neno ambalo aliamuru, kwa vizazi elfu, 16agano alilolifanya na Abrahamu,
kiapo alichomwapia Isaki. 17Alilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri,
kwa Israeli liwe agano la milele: 18“Nitakupa wewe nchi ya Kanaani
kuwa sehemu utakayoirithi.” 19Walipokuwa wachache kwa idadi,
wachache sana na wageni ndani yake,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.